Welcome to AjiraSmartTZ
AjiraSmartTZ ni blog inayolenga kuwasaidia vijana wakitanzania kupata taarifa sahihi kuhusu ajira mpya, mafunzo ya kitaaluma, biashara ndogo, na masuala ya fedha.
Tunaamini kuwa kila mtu ana nafasi ya kufanikiwa endapo atapata taarifa sahihi kwa wakati sahihi. Kupitia jukwaa hili, tunaleta:
- Tangazo za ajira zilizothibitishwa kutoka ndani na nje ya Tanzania
- Mwongozo wa kuandika CV, barua za maombi, na maandalizi ya usaili
- Mafunzo ya bure mtandaoni (online learning)
- Mawazo ya kuanzisha biashara ndogo kwa mtaji mdogo
- Maarifa ya fedha kwa vijana na wafanyakazi
Kama unatafuta mwelekeo bora wa maisha ya kiuchumi na ajira, basi uko mahali sahihi!
Karibu AjiraSmartTZ – Maarifa ya Kesho, Leo!
No comments:
Post a Comment